WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA - News Today in World

WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA

WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA
link : WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA

newstoday-ok.blogspot.com ~
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, iliyokutana leo Jumamosi Julai 01, 2017 kwenye ofisi za TFF, Dar es Salaam imempitisha Wallace Karia kuwa Kaimu Rais wa shirikisho.

Kadhalika, Kamati hiyo ya Utendaji ya TFF, imempitisha Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF.

Viongozi hao watakaimu nafasi hizo tajwa hadi hapo mahakama itakavyoamua kuhusu kesi zinazowakabili kwa sasa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu, Mwesigwa Selestine. 

Kamati ya Utendaji ya TFF, imekutana kwa dharura kwa mujibu wa Ibara ya 35 (1) inayosomwa pamoja na Ibara ya 35 (6) na kufanya uamuzi huo.


That's an article WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA

Fine for article WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article WALLACE KARIA AVAA VIATU VYA MALINZI KWA MUDA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/wallace-karia-avaa-viatu-vya-malinzi.html

Subscribe to receive free email updates: