SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM - News Today in World

SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM

SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
link : SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM

newstoday-ok.blogspot.com ~
SHIRIKA la Posta na Simu chini ya uongozi mpya, imejinyakulia tuzo ya mshindi wa kwanza wa watoa huduma bora kutoka taasisi za umma na binafsi, zinazoshiriki maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, yaliyofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 1, 2017. Maonesho hayo ya kila mwaka yameandaliwa na Mamlaka ya Uendelezaji Bishara Tanzania, (TAN Trade). Pichani juu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,  Deo Kwiyukwa, (katikati), akiwa amekamata tuzo hiyo pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo kwenye banda lao.

Kwiyukwa (kushoto), akiwakabidhi tuzo hiyo wafanyakazi wenzake baada ya kupokea toka kwa Rais Magufuli.
 Wafanyaakzi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwahudumia wananchi waliotembelea banda la shirika hilo kwenye banda kuu la Jakaya Kikwete.
 Wafanyaakzi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwahudumia wananchi waliotembelea banda la shirika hilo kwenye banda kuu la Jakaya Kikwete.
Kwiyukwa, (Kushoto), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano na elimu kwa umma, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA),Sara Kibonde Msika, (kulia), na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF),  Laura Kunenge.
Bw. Kwiyuka akipongezwa na Bi Laura Kunenge wa WCF, baada ya kutwaa tuzo hiyo


That's an article SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM

Fine for article SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/shirika-la-posta-laibuka-kidede-kwa.html

Subscribe to receive free email updates: