11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU - News Today in World

11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU

11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU
link : 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU

newstoday-ok.blogspot.com ~
Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu kwa Wanawake (TWFA), imetangaza majina ya wagombea 11 waliopitishwa kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa chama hicho utakaofanyika Julai 8, mwaka huu mkoani Morogoro.

Majina ambayo yamepitishwa ni Amina Karuma, Rose Kisiwa, Somoe Ng’itu, Theresia Mung’ong’o, Hilda Masanche, Salma Wajeso, Zena Chande, Triphonia Temba, Mwamvita Kiyogoma, Jasmin Soudy na Chichi Mwidege.

Nafasi zinazogombewa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF na Wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji.


That's an article 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU

Fine for article 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article 11 WAPITISHWA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI TWFA WAMO WANAHABARI ZENA CHANDE NA SOMOE NG'ITU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/11-wapitishwa-kuwania-nafasi-mbalimbali.html

Subscribe to receive free email updates: