KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1 - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
link : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
You are now reading the article KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1 With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-yatembelea.html
Title : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
link : KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
news-today.world |
Wachimbaji wadogo wadogo wa Sekenke one wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola (hayupo pichani) alipopata fursa ya kuzungumza nao na kusisitiza suala la usafi wa mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Kangi Lugola akisalimiana na Dotto Roman Selasini Afisa Uhamiaji wa Wilaya ya Iramba mara baada ya kuwasili katika Mgodi wa Senkenke One ulipo katika Kijiji cha Nkonkilangi, Kata ya Ntwike, Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba akiongozana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kutembelea mgodi huo kwa lengo la kujionea hali ya mazingira mgodini hapo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Kangi Lugola (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, Murad SadickA (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Emmanuel Lwehaula wakati wa ziara ya kutembelea mgodi wa Sekenke one Mkoani Singida.
Wabunge wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiangalia zoezi la uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia zebaki mara baada ya kutembelea mgodi wa Sekenke one Mkoani Singida.
Wachimbaji wadogo wadogo wa Sekenke one wakimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola (hayupo pichani) alipopata fursa ya kuzungumza nao na kusisitiza suala la usafi wa mazingira.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola akifafanua vifungu vya Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 kwa watendaji wa Wilaya ya Iramba na kuwataka kuisimamia ili kudhibiti vitendo vya uchafuzi wa Mazingira.
That's an article KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1
Fine for article KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1 This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE 1 With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-yatembelea.html