WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE - News Today in World

WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE

WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE
link : WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE

news-today.world |
Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa wadudu na Magonjwa wa Zao la Korosho Taasisi ya NALIENDELE Dr.Wilson Nene aliyevalia Tishet Nyeupe wakati waziri wa Kilimo Dr.Tizeba alipofanya Ziara katika Taasis Hiyo.


Jumla ya miche ya Mikorosho Million10 imezalishwa na Taasisi ya utafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania CBT kwa ajili ya kusambaza katika mikoa yote inayozalisha Zao la korosho.

Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akisikiliza maelezo  kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Naliendele Dkt.Omar Mponda katika shamba la Mfano la zao la Karanga.
Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba akioneshwa Shamba la Mfano la  Karanga lililopo Taasisi ya Utafiti ya Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara.


Kaim Mkurugenzi wa Taasisi yaUtafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara Dkt Omar Mponda akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo Dkt.Charles Tizeba kuhusiana na Mbegu za Muhogo ambazo zinazalishwa na Taasisi ya Hiyo.


That's an article WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE

Fine for article WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA TAASIS YA NALIENDELE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-kilimo-dkttizeba-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates: