WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
You are now reading the article WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-akagua-makazi-ya-makamu-wa.html
Title : WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
news-today.world |

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Meneja wa TBA-Dodoma, Steven Simba (kulia) wakati alipokwenda kukagua ofisi na makazi ya muda ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017 (kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Maimuna Tarishi, na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa makazi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya mpangilio wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Msanifu Majengo, Edward Kayombo (kulia) wakati alipokwenda kukagua ofisi hiyo mjini Dodoma Desemba 6, 2017 (katikati) ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo ya ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo, Edward Kayombo (kulia) wakati alipoenda kukagua ofisi na makazi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017 wa pili kulia ni Kaimu Meneja wa TBA-Dodoma, Steven Simba (kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Maimuna Tarishi, na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama.
**************
MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma.
Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo leo mchana (Jumatano, Desemba 6, 2017) katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu wa Mkoa huo.
Akitoa taarifa ya ujenzi huo, Waziri wa Nchi (OWM) anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Wenye Ulemavu na Vijana, Bibi Jenista Mhagama alisema Kikosi kazi cha kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma kilibaini kuwa mahali alipokuwa akiishi awali siyo sahihi kwa ajili ya makazi ya kudumu ya Mhe. Makamu wa Rais.
“Pale palikuwa panafaa kwa ajili ya ziara za kikazi alipokuwa akija Dodoma, kwa hiyo tumeamua tufanye ukarabati hapa, ili aweze kuishi kwa viwango vinavyostahili.”
Alisema kazi ya matengenezo kwenye makazi yake itagharimu sh. bilioni 1.5 wakati kazi ya kutenganisha ofisi za watumishi na wasaidizi wa Makamu wa Rais itagharimu sh. milioni 680.
Waziri Mkuu pia alikagua matengenezo ya Ofisi inayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais ambayo itakuwa eneo la Ndejengwa.
Wakati huohuo, Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Dodoma, Bw. Steven Simba ambaye anasimamia ujenzi huo, alimweleza Waziri Mkuu wanataraji kuwa kazi hiyo itakamilika kabla ya Desemba 30, mwaka huu.
That's an article WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA
Fine for article WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS MJINI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-akagua-makazi-ya-makamu-wa.html