TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM - News Today in World

TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM

TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM
link : TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM

news-today.world |
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIB Corporate Bank, Edward Lyimo (wa tatu kulia) akimkabidhi sehemu ya vifaa vya tiba ya uzazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema kwa ajili ya Zahanati ya Msongola nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 7 vitasaidia kupunguza mahitaji ya vifaa tiba kwa wodi ya wazazi ya zahanati hiyo inayohudumia wanawake wazazi Zaidi ya 50 kwa mwezi. Pamoja nao (kutoka kushoto) ni Mkurugenzi wa Huduma za matawi na Masoko, Theresia Soka, Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Chacha Mwita, Mkurugenzi wa hazina Bahati Minja, Mkurugenzi wa mikopo, Adolphina William na maafisa wengine wa benki na hospitali hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIB Corporate Bank, Edward Lyimo (wa pili kushoto) akimpatia maelezo mafupi Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema kuhusu sehemu ya vifaa vya tiba ya uzazi benki hiyo ilivyotoa kwa ajili ya Zahanati ya Msongola nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo kabla ya makabidhiano. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo, Dkt Mwanahawa Malika. 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiongea na wana habari wakati wa hafla hiyo ya kupokea msaada wa vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 7 vitakavyosaidia kupunguza mahitaji ya vifaa tiba kwa wodi ya wazazi ya zahanati hiyo inayohudumia wanawake wazazi Zaidi ya 50 kwa mwezi. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIB Corporate Bank, Edward Lyimo (wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa hafla hiyo. (Picha na Robert Okanda Blogs) 




That's an article TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM

Fine for article TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TIB CORPORATE BANK WAIPIGA TAFU ZAHANATI YA MSONGOLA DAR ES SALAAM With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/tib-corporate-bank-waipiga-tafu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :