PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
link : PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
You are now reading the article PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/ppra-yafanya-marekebisho-ya-sheria-ili.html
Title : PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
link : PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
newstoday-ok.blogspot.com ~
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Dkt Laurent Shirima akimuhudumia mwananchi aliyetembelea banda lao na katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Dkt Laurent Shirima akipata maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa Taifa (PPF) wakati alipotembelea banda hilo lilipo katika Jengo la Wizara ya Fedha na Mipango katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Dkt Laurent Shirima akisaini katika kitabu cha wageni wa Wizara ya Fedha na Mipango alipotembelea banda hilo katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.
Afisa Mahusiano Mwandamizi wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Mcharo Mrutu akimuhudumia mwananchi aliyetembelea banda lao katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam
Mtaalamu wa Mifumo ya Habari wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Mapinduzi Muhochi akitoa elimu ya manunuzi ya zabuni kwa mwananchi aliyejitembelea banda lao katika maadhimisho ya 41 ya Monesho ya kimataifa ya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam. Picha Zote na Emannuel Massaka.

*************Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma PPRA Dkt Laurent Shirima akizungumza na wanahabari wakati alipotembelea banda la Mamlaka wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma PPRA lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango na kuelezea namna wanavyojizatiti katika kuboresha ununuaji wa zabuni kwa serikali.
MAMLAKA wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA)imejizatiti kwa kufanya marekebisho ya sheria ikiwa ni katika kuboresha zaidi manunuzi ya bidhaa na vifaa kwa serikali.
Akizungumza wakati akitembelea banda la PPRA lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Dkt Laurent Shirima amesema kuwa maboresho hayo yatalenga katika sehemu tano ambazo zitaboresha manunuzi ya zabuni katika nyanja mbalimbali.
Dkt Shirima amesema kuwa sheria hiyo imeboreshwa katika kupunguza gharama za ununuaji wa Bidhaa na vifaa, serikali kununua kwa bei za sokoni wakimaanisha bei halisi ya bidhaa na vifaa pia wametoa upendeleo kwa makampuni ya ndani ikiwemo makundi maalumu kama vile wanawake, wazee na vijana.
Ameongezea kuwa, katika maboresho mengine yaliyofanywa ni katika kuendeleza viwanda kama serikali ya awamu ya tano inavyosisitiza ukuaji wa viwanda huku PPRA ikiangalia zaidi wataalamu wa manunuzi kutoka ndani pia wapo katika hatua za mwisho za kuhamia katika mfumo wa kieletroniki wa ununuzi wa zabuni.
PPRA ni mamlaka inayohusiana na udhibiti wa manunuzi ya Umma ambapo kupitia kwa Mtendaji Mkuu Dkt Shirima amewaondoa hofu wananchi kuwa waiamini taasisi yao kwani mambo mengi ya msingi yameshawekwa wazi na fedha za umma zinahitaji uwajibikaji.
That's an article PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA
Fine for article PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article PPRA YAFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA ILI KUBORESHA MANUNUZI KATIKA OFISI ZA UMMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/07/ppra-yafanya-marekebisho-ya-sheria-ili.html