SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU - News Today in World

SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU

SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU
link : SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU

newstoday-ok.blogspot.com ~
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema jitihada zinazofanywa na Rais John Magufuli za kulinda rasilimali za taifa zinaenda sawa na mafundisho ya dini ya kiislamu.


Alhad ameyasema hayo leo (Jumatatu) wakati akitoa hutuba baada ya swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Amesema katika mafundisho ya dini ya kiislamu kuchezea rasilimali ni haramu, hivyo Waislamu na Watanzania kwa ujumla wanapaswa kuunga mkono jitihada hizo za kulinda rasilimali za taifa.

"Jitihada anazofanya Rais wetu ni sawa kabisa na mafundisho ya dini yetu ya Kiislamu, anachofanya ni kulinda keki ya taifa ili kila mmoja anufaike na keki hiyo, hili ni jambo zuri," amesema Sheikh Alhad.

Aidha, amewataka waislamu kuitumia sikukuu ya leo kuliombea taifa amani na kuwaombea viongozi wote ili waweze kutekeleza yaliyo mema kwa ajili ya Watanzania wote.


That's an article SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU

Fine for article SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article SHEIKH ALHAD; AFANYAYO RAIS MAGUFULI YANAENDANA NA MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAMU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/sheikh-alhad-afanyayo-rais-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates: