MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA - News Today in World

MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA

MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA
link : MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA

newstoday-ok.blogspot.com ~
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amesema kama si utawala wa katiba uliopo nchini, utawala wa Rais John Magufuli ulipaswa kuendelea kuwepo miaka yote.

Mwinyi ameyasema hayo leo (Jumatatu) wakati akitoa salam za Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.

Amesema anayoyafanya Rais Magufuli ni mambo mazuri na kwamba kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kulipeleka taifa mahali kuzuri.

"Amelipeleka taifa mahali kuzuri, anerudisha nidhamu, sasa hivi ukienda hospitali unapata huduma vizuri, ukienda kwenye ofisi unapata huduma nzur," amesema.

"Yako mengi mzuri, tumuunge mkono Rais wetu, kama isingekuwa katika basi ningesema aendelee kuongoza mpaka mwisho," ameongeza.


That's an article MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA

Fine for article MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MWINYI; KAMA ISINGEKUA KATIBA, MAGUFULI AENDELEE TU KUTAWALA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/mwinyi-kama-isingekua-katiba-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates: