MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE - News Today in World

MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE

MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE
link : MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE

newstoday-ok.blogspot.com ~
Kocha mkuu wa mkoa wa Mara Saddy Omary ameipongeza timu yake ya mchezo wa mpira wa kengele ya wasichana kwa kuanza vyema mashindano ya michezo ya shule msingi nchini(UMITASHUMTA).

Kocha Saddy alisema ana imani timu yake itafanya vyema kuhakikisha inafika hatua ya fainali na kuchukua ubingwa.

Timu ya Mara ilishinda kwa mabao 14-12 dhidi ya Manyara.Saddy alisema mchezo wa mpira wa Kengele nchini una changamoto nyingi sana na wadau wamekuwa hawatoi kipaumbele kwajili ya mchezo huo.

Saddy alisema changamoto nyingine wanayopata katika kuendeleza mchezo huo ni gharama ya vifaa kwajili ya mchezo huo,ikiwemo mpira wa mchezo huo ambapo unauzwa 300,000/-.

Saddy anaiomba chama cha mchezo huo kwa walemavu wasioona(TBSA) kuhakikisha inatoa elimu ya kutosha kwa jamii kuhusiana na mchezo huo.

Kocha Omary alisema serikali iendelee kutoa mafunzo ya kutosha kwa walimu wa mchezo huo nchini.


That's an article MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE

Fine for article MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MARA YAANZA VYEMA MPIRA WA KENGELE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/06/mara-yaanza-vyema-mpira-wa-kengele.html

Subscribe to receive free email updates: