MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA - News Today in World

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA
link : MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA

news-today.world |

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU  WAJIBU WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUTII SHERIA ZA NCHI ILI KUKUZA DEMOKRASIA NA AMANI YA NCHI
 
Nachukua fursa hii kuwaasa Viongozi wote wa Vyama vya Siasa na wanachama kutekeleza majukumu yao ya kisiasa kwa kufuata na kuzingatia Sheria na Kanuni za Vyama vya Siasa na Sheria za nchi kwa ujumla.

Kufuatia tabia iliyojitokeza ya baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini kutumia vibaya vyombo vya habari, hususani mitandao ya kijamii kufanya vitendo au kutoa kauli ambazo zinavunja sheria za nchi, ni wito wangu kwao kuacha tabia hiyo mara moja.

Ninasisitiza kuwa Viongozi wa Vyama vya Siasa wasitumie vibaya dhana ya demokrasia na uhuru wa habari, kuvunja Sheria za nchi. Ieleweke kwamba mtu yeyote anapokiuka sheria za nchi, Sheria itachukua mkondo wake bila kujali wadhifa wa mhusika katika chama cha siasa.

Rai yangu kwa Viongozi wote wa Vyama vya Siasa na wanachama wote wa vyama vya siasa nchini, ni wajibu wa kila mmoja wao kuelewa kwamba katika kutekeleza majukumu yao ya kisiasa wanapaswa kuheshimu Sheria za nchi wakati wote ili kudumisha na kukuza demokrasia ya vyama vingi nchini. Kwa kufanya hivyo pia, Viongozi hawa watalinda na kuimarisha Amani ya nchi yetu.

 
  Jaji Francis S.K. Mutungi
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA


That's an article MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA

Fine for article MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AWAONYA WANASIASA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/06/msajili-wa-vyama-vya-siasa-awaonya.html

Subscribe to receive free email updates: