WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. - News Today in World

WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019., We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.
link : WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

news-today.world |
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili na kuopitisha kiasi cha shilingi 73,071,273,632 iloi wizara iweze kutumiza majukumu yake.
 Waziri, Lukuvi ameliambia Bunge kuwa katika mwaka wa fedha wa 2018/19 wizara inataraji kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 120 kutokana na kodi, tozo, na ada mbalimbali za zinazotokana na shughuli za sekta ya ardhi kwa kutekeleza mikakati ambayo wamejiwekea. 
 Wabunge wakiwa Bungeni jijini Dodoma leo 
 Wageni wakiwa Bungeni jijini Dodoma
 Wabunge Munira Mustapha akijadili jambo na Hussein Bashe Bungeni jijini Dodoma.
 Wageni wakiwa Bungeni wakifuatulia kikao cha Bunge leo. BOFA HAPA KUONA ZAIDI.

 Wabunge wakiwa Bungeni jijini Dodoma leo 
 Wabunge wakiwa Bungeni jijini Dodoma leo 
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akiwa Bungeni.


That's an article WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

Fine for article WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019. With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/05/wizara-ya-ardhi-yaomba-bilioni-73-kwa.html

Subscribe to receive free email updates: