TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH - News Today in World

TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH

TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH
link : TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH

news-today.world |
Aliye wahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Ramadhani Musa Khijjah (65), amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo katika eneo la Jet Lumo, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam.

Maziko yatafanyika kesho April 18, katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Ramadhan Khijjah katika eneo la Jet Lumo, Yombo Malawi Hospital-Temeke.

Marehemu Ramadhani Khijjah aliteuliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wakati huo Wizara ikijulikana kama Wizara ya Fedha na Uchumi, Novemba 23, mwaka 2008.

Alistaafu utumishi wa umma mnamo na June 12, 2013 akiwa na umri wa miaka 60.

Wakati wa uhai wake, Marehemu Khijjah, atakumbukwa kwa uchapakazi wake hodari, uadilifu, uzalendo na alichukia vitendo vya rushwa


That's an article TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH

Fine for article TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TANZANIA; MSIBA WA KATIBU MKUU MSTAAFU RAMADHAN KHIJJAH With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/04/tanzania-msiba-wa-katibu-mkuu-mstaafu.html

Subscribe to receive free email updates: