MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
You are now reading the article MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-samia-kuhudhuria-mkutano.html
Title : MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
link : MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
news-today.world |
Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda London, Uingereza kushiriki kwenye Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Aprili, mwaka huu akimwakilisha Rais Dkt. John Magufuli.
Mkutano huo ambao Kaulimbiu yake ni “Kuelekea Mustakabali wa Pamoja” utafanyika chini ya Uenyekiti wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Mheshimiwa Theresa May na utafunguliwa na Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza.
Majadiliano ya Mkutano wa CHOGM 2018 yatajikita kwenye maeneo manne makuu ya kipaumbele ambayo yatajadili namna Jumuiya ya Madola inaweza kufikia mustakabali wenye ustawi zaidi; mustakabali endelevu zaidi; mustakabali wenye haki zaidi; na mustakabali wenye usawa zaidi.
Mijadala katika maeneo hayo ya kipaumbele itahusisha masuala mbalimbali ikiwemo, kukuza zaidi biashara na uwekezaji baina ya nchi za Jumuiya ya Madola kwa manufaa ya nchi wanachama na Jumuiya nzima; kukuza na kuendeleza misingi ya demokrasia; ajenda ya mabadiliko ya tabia nchi na maendeleo endelevu pamoja na masuala ya uhalifu wa kimataifa kama vile ugaidi, uhalifu wa kimtandao na usafirishaji wa binadamu.
Jumuiya ya Madola ilianzishwa mwaka 1949 kupitia Tamko la London ambalo lilikuwa ni matokeo ya Mkutano wa Mawaziri Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola. Jumuiya ya Madola ina wanachama 53 ambapo kati ya hizo, nchi 19 ni za Afrika, 7 ni kutoka Asia, 13 ni kutoka nchi za Carribean na Mabara ya Amerika, 11 ni kutoka eneo la Pacific na nchi 3 ni kutoka Ulaya.
Ujumbe wa Makamu wa Rais unajumuisha, Dkt. Balozi Augustine Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki.
Makamu wa Rais na ujumbe wake wanatarajia kurejea nchini Aprili 22, mwaka huu.
That's an article MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON
Fine for article MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article MAKAMU WA RAIS SAMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA CHOGM LONDON With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-samia-kuhudhuria-mkutano.html