BUNGENI DODOMA - News Today in World

BUNGENI DODOMA

BUNGENI DODOMA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title BUNGENI DODOMA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : BUNGENI DODOMA
link : BUNGENI DODOMA

news-today.world |
MBUNGE wa Viti Maaalum Kiteto Koshuma akiuliza swali Bungeni Mjini Dodoma jana wakati wa kikao cha nne cha Bunge la 11 la bajeti linaloendelea mjini Dodoma. (Picha na Mroki Mroki).
Mbunge wa Viti Maalum, Aida Mwanguku akichangia mjadala wa bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu unaoendelea mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai (kushoto) walipokutana katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri MkuuSera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na (Walemavu) Stella Ikupa akiwa na Naibu Waziri wa Kilimo, Mary Mwanjelwa wakifuatilia kikao cha Bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Mbinga Vijijini, Martin Msuha nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
 Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Ileje, Janeth Mbene Bungeni Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Picha na Mroki Mroki).
Wageni wakiwa Bungeni mjini Dodoma jana kufuatilia vikao vya Bunge la Bajeti mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Mbunge wa Geita Mjini, Costantine Kanyasu (kushoto) akisaliama na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na huku Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu) Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, Anthony Mavunde (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula walipokutana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Mbunge wa Muleba Mashariki, Prof. Anna Tibaijuka akichangia mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Mbunge wa Tarime Mjini, Estha Matiko (kushoto) akionesha Biblia wakati Bunge likiendelea na mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Grace Kiwelu. (Picha zote na Mroki Mroki).
Mbunage wa Viti Maalum, Oliver Semuguruka akiingia
Bungeni Mjini Dodoma  mwishoni mwa wiki.


That's an article BUNGENI DODOMA

Fine for article BUNGENI DODOMA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article BUNGENI DODOMA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/04/bungeni-dodoma.html

Subscribe to receive free email updates: