UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
link : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
You are now reading the article UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/uhifadhi-wa-kumbukumbu-ya-historia-ya.html
Title : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
link : UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
news-today.world |
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akimuonyesha Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania,Yuri Popou (kushoto) pikipiki iliyotolewa na Urusi (Soviet Union) ili iweze kutumiwa wakati wa harakati za ukombozi wa bara la Afrika alipotembelea katika ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika na kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk.Harrison Mwakyembe (kushoto) akimuonyesha mazingira ya ofisi za kukumbumbu ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Yuri Popou (wapili kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo DK.Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ujio wa Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, Yuri Popou (kushoto) alipotembelea katika ofisi hizo kuona namna Urusi ilivyochangia katika harakati za ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa UNDP nchini , Natalie BOUCLY (kushoto) alipotembelea katika ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimshukuru Mwakilishi wa UNDP nchini , Natalie BOUCLY (kulia) baada ya kutembelea ofisi za kuhifadhi urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam na kujadili namna ambavyo UNDP itasaidiana na wizara katika kuhifadhi historia hiyo kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Picha na:Genofeva Matemu -WHUSM
That's an article UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU
Fine for article UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article UHIFADHI WA KUMBUKUMBU YA HISTORIA YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUWAVUTIA WADAU With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/uhifadhi-wa-kumbukumbu-ya-historia-ya.html