UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE - News Today in World

UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE

UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE
link : UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE

news-today.world |
Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, Ubalozi wa Marekani na Kituo cha Kijinsia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo waliandaa mdahalo wenye dhima: “Usimuache Mwanamke Nyuma” ambapo zaidi ya wanawake 300 walihudhuria mdahalo huo katika Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 

Kaimu Balozi wa Marekani, Dk. Inmi Patterson, na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Bonaventure Rutinwa, walitoa hotuba za ufunguzi wakati wanawake maarufu wa Kitanzania walishiriki katika mdahalo, wakiwemo Vicky Ntetema, Mwanaharakati wa haki za kibinadamu, Joyce Mhaville, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One, Dk. Victoria Kisyombe, Mwanzilishi wa taasisi ya Selfina, Profesa Costancia Rugumamu, mtaalamu wa masuala ya kijinsia na maendeleo Chuo Kikuu cha Dar es Salaama, na Abella Bateyunga, mwanzilishi wa Tanzania Bora Initiatives, ambaye alikuwa mwezeshaji wa mdahalo. (Picha kwa Hisani ya Ubalozi wa Marekani).


That's an article UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE

Fine for article UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article UBALOZI WA MAREKANI,UDSM WAFANYA MDAHALALO WA SIKU YA WANAWAKE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/ubalozi-wa-marekaniudsm-wafanya.html

Subscribe to receive free email updates: