PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM - News Today in World

PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM

PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM
link : PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM

news-today.world |
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rais Mstaafu (Awamu ya Tatu), Mhe. Benjamin William Mkapa ametangaza uteuzi wa Profesa Egid Beatus Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Profesa Idris Suleiman Kikula.

Uteuzi huo umetangazwa rasmi leo tarehe 5, Machi 2018 kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na ofisi ya Mkuu wa UDOM, Mhe. Benjamin Mkapa.

Kabla ya uteuzi huo Profesa Mubofu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), na kabla ya hapo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Profesa Mubofu unaanza rasmi tarehe 17 Machi, 2018.

Profesa Idris Kikula ni miongoni mwa wanazuoni waandamizi wanaoheshimika ndani na nje ya nchi kitaaluma kwa kushiriki katika tafiti mbalimbali za kisayansi na kijamii

Ameshiriki katika tafiti hizo kwa kushirikiana na taasisi nguli za kitafiti hapa nchini kama REPOA, pamoja na taasisi ya UONGOZI. UDOM ndio chuo kikuu pekee chenye uwezo mkubwa wa kuchukua wanafunzi wengi hapa nchini na Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara na inakadiriwa kina uwezo wa kuchukua wanafunzi takriban 40,000, pia kina eneo la ukubwa wa hekari zaidi ya 6000.


That's an article PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM

Fine for article PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article PROFESA MUBOFU MAKAMU MKUU WA CHUO MPYA UDOM With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/profesa-mubofu-makamu-mkuu-wa-chuo-mpya.html

Subscribe to receive free email updates: