NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA - News Today in World

NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA

NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA
link : NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA

news-today.world |
 NAIBU Spika Dk.Tulia Ackson ameshiriki ibada takatifu katika kanisa la Jerusalem Temple Sokomatola, Mjini Mbeya ambapo pamoja na kushiriki na waumini wenzake katika ibada hiyo Dk Tulia pia alitoa jumla ya shilingi milioni mbili na laki tano kama msaada wake ikiwa Milioni moja kwa  ajili ya sikukuu ya wakinamama, Milioni moja na nusu alinunua CD mbili za kwaya katika kanisa hilo.
Dk. Tulia akifanyiwa maombi maalum.
Pia Dk Tulia alipata fursa ya kushiriki kama mgeni rasmi kwenye  Maulid ya wanawake wa kiislam mkoa wa Mbeya iliyofanyika katika msikiti wa Masjid Fyii Sabili Ilah uliopo Forest ambapo alitoa msaada wa vitabu vya mafundisho ya kiislam na Quran tukufu pamoja na kulipia huduma zote ikiwemo chakula.
"Sisi kama viongozi yawezekana wakati mwingine tukawa hatuwafikii kwa wakati watumishi wa dini lakini mara zote tupo pamoja nanyi na tunatambua sana mchango wenu katika taifa kwa maombi yenu na haswa katika kuwalewa watoto wetu katika maadili mema ambayo yatasaidia kuwa na raia wazuri wenye kumcha Mungu," Dk Tulia.


That's an article NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA

Fine for article NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article NAIBU SPIKA TULIA ATOA MSAADA TAASISI ZA DINI MBEYA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/naibu-spika-tulia-atoa-msaada-taasisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :