MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
link : MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
You are now reading the article MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/mwandishi-wa-tsn-katuma-masamba-afariki.html
Title : MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
link : MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
news-today.world |
MWANDISHI wa habari chipukizi wa vyombo vya habari vya Digital vinavyomilikiwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) maarufu kama Daily News Digital, Katuma Masamba (pichani) amefariki dunia.
Taarifa iliyotolewa na Naibu Mhariri Mtendaji wa TSN, Tuma Abdallah ilisema Katuma (24) alifariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke mkoani Dar es Salaam, alikokimbizwa ili kupatiwa matibabu baada ya kuugua ghafla juzi akishiriki Jukwaa la Biashara la TSN mjini Zanzibar.
Mjomba wa marehemu, Shamte Ally alisema hospitalini hapo jana kuwa mipango ya mazishi ya Katuma ambaye awali alikuwa mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo, itafanyika baada ya kikao cha familia kukaa leo na hasa baada ya mama yake kuwasili.
Dada wa Katuma, ambaye ni mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Nyambona Masamba alisema ndugu wamepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kifo hicho cha Katuma.
Taarifa zaidi kuhusu mazishi ya Katuma, zitaendelea kutolewa kwa kadri mipango itakavyokuwa inakwenda.
Alfajiri ya leo Mjoba wa Marehemu Katuma, Shamte Ally alituma ujumbe mfupi kwa mmoja wa waandishi wa Gazeti tando hili la Daily News Online Blog, Mroki Mroki aliyeko Dodoma na kusema kuwa wanamsubiri mama mzazi wa Katuma anaewasili leo kwa maamuzi juu ya maziko ya mtoto wake.
Bodi, Menejimenti na wafanyakazi wa TSN, wanaungana na familia ya marehemu katika wakati huu mgumu wa maombolezo.
That's an article MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA
Fine for article MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article MWANDISHI WA TSN KATUMA MASAMBA AFARIKI DUNIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/mwandishi-wa-tsn-katuma-masamba-afariki.html