MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
link : MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
You are now reading the article MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/mkuu-wa-kanda-pori-la-akiba-rukwa.html
Title : MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
link : MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
news-today.world |
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla (Mb) amemsimamisha kazi Bwana Emmanuel Barabara, Mhifadhi Wanyamapori Mkuu ambaye pia ni Mkuu wa Kanda – Pori la Akiba Rukwa, lililopo wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, kuanzia jana tarehe 10 Machi, 2018 ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dr. Aloyce K. Nzuki imesema Dk. Kigwangalla amechukua uamuzi huo kufuatia taarifa za raia wema kuwa Bwana Barabara amekuwa akishirikiana na majangili katika kuhujumu rasilimali za misitu nchini.
Aidha, Waziri Kigwangalla ameagiza iundwe Kamati ya Uchunguzi ili kubaini ukweli wa tuhuma hizo, na endapo mtuhumiwa huyo atakutwa na hatia, hatua kali za kinidhamu ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za Utumishi wa Umma ili iwe fundisho kwa wengine.
Tunatoa onyo kali kwa watumishi wa Wizara wanaojihusisha na vitendo vya uhujumu wa rasilimali za Misitu, Wanyamapori na Malikale kuacha mara moja kwani hatutosita kuchukua hatua kali za kinidhamu kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo ikiwemo kufukuzwa kazi.
Watumishi wote wa Wizara wanatakiwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ya uhifadhi wa rasilimali za nchi kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.

That's an article MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
Fine for article MKUU WA KANDA - PORI LA AKIBA RUKWA ASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.