MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA. - News Today in World

MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA.

MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA. - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA., We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA.
link : MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA.

news-today.world |
Kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar Es Salaam nimeshtushwa na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Afisa Ubalozi wa Syria ameshambuliwa na kuporwa kiasi kikubwa cha fedha leo mchana Jijini Dar Es Salaam. 

Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi na kusema kwamba Dar Es Salaam sio salama na kueleza watu wawe makini zaidi.

Nawaomba sana wananchi wa Dar Es Salaam muendelee kuwa watulivu na mkielewa kwamba Mkoa wenu ni salama salama sana. Vyombo vya usalama vinalifanyia kazi tukio hili na taarifa za awali nilizopokea zinaonyesha tukio hili linaweza kuwa limepangwa na watu wa ndani. Tunafuatilia zaidi kujua kwa nini Afisa huyo hakuomba ulinzi wa polisi akiwa amebeba kiasi hicho kikubwa cha fedha na pia kwa nini dereva wake amekimbia.

Kwa hali ilivyo mpaka sasa kuna uwezekano ikawa ni tukio la kupangwa na watu wa ndani. Hatutaruhusu watu wachache wachafue taswira ya Mkoa wetu.

Uchunguzi ukifikia sehemu nzuri taarifa rasmi itatolewa na vyombo vyetu vya usalama. Ulinzi na usalama wa wananchi wetu ni muhimu sana.

Mh. Paul Makonda
Mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam


That's an article MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA.

Fine for article MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA. This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAKONDA AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA KWA AFISA UBALOZI WA SYRIA. With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/03/makonda-azungumzia-tukio-la.html

Subscribe to receive free email updates: