TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn - News Today in World

TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn

TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn
link : TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn

news-today.world |
Na Mwandishi Wetu
Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani Mtwara  imezifungia hoteil tatu pamoja na kituo cha kuuza mafuta kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya kodi zaidi ya Sh bilioni 1.

Hotel zilizofungiwa ni Naff Beach, Naf blue na BNN wakati kituo cha mafuta  kilichofungiwa  pamoja na kituo cha mafuta kijulikanacho kwa jina la  Mnarani Petrol Station.

Afisa mwandamizi wa huduma na elimu kwa mlipa kodi mkoa wa Mtwara, Flavian Byabato amesema zoezi hilo ni endelevu kwa mkoa mzima.

“Ni madeni ambayo yametokana na ukaguzi kwa kipindi cha miaka mitatu nyuma, kikubwa walipe kodi..tunafungia kwa mambo mbalimbali kama malimbukizo ya madeni ya muda mrefu, matumizi sahihi ya mashine za EFD katika kutoa na kudai risiti sahihi inayoakisi gharama halisi ya malipo na kutii sharia za kodi kama kutunza kumbukumbu,” amesema Byabato

Byabato ameongeza kuwa endapo wadaiwa watashindwa kulipa madeni yao, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.


That's an article TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn

Fine for article TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TRA yafunga hoteli, kituo cha mafuta kwa deni la Sh1bn With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/tra-yafunga-hoteli-kituo-cha-mafuta-kwa.html

Subscribe to receive free email updates: