RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA - News Today in World

RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA

RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA
link : RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA

news-today.world |
 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali vya thamani ya milioni 4.4 ambavyo vitasaidia katika kampeni ya uhifadhi mazingira na upandaji miti . Vifaa hivyo vimekabidhiwa jana na  Kampuni ya Alliance One Tobacco Tanzania Ltd.


Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(mwenye koti  la bluu)  akipokea  vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 4.4 ambavyo vitasaidia katika kampeni ya uhifadhi mazingira na upandaji miti . Vifaa hivyo vimekabidhiwa jana na  Kampuni ya Alliance One Tobacco Tanzania Ltd.



Baadhi ya vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 4.4 vilivyotolewa jana na  Kampuni ya Alliance One Tobacco Tanzania Ltd kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Mkoa wa Tabora za kampeni yake ya kuhakikisha eneo hilo linakuwa la kijani kwa kupanda miti kwa wingi. Picha na Tiganya Vincent



That's an article RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA

Fine for article RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article RC MWANRI APOKEA VIFAA VYA UTUNZAJI MAZINGIRA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/rc-mwanri-apokea-vifaa-vya-utunzaji.html

Subscribe to receive free email updates: