RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
link : RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
You are now reading the article RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/rais-wa-fifa-akiwa-nchini-tanzania-leo.html
Title : RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
link : RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
news-today.world |
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino (aliyevaa shuka la kimasai) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania Leodger Tenga mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tayari kwa kikao cha shirikisho hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakiwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tayari kwa kikao cha shirikisho hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) wakiangalia bidhaa mbalimbali za uchongaji na ushonaji toka kwa wajasiriamali wa Tanzania kabla ya kuanza kwa kikao cha shirikisho hilo mapema hii leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino (katikati) akiwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tayari kwa kikao cha shirikisho hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika Ahmad Ahmad na kulia ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania Wallace Karia.
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino (aliyevaa shuka la kimasai) akivalishwa urembo wa mkononi wenye rangi za bendera ya Taifa mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) tayari kwa kikao cha shirikisho hilo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Uhusiano Mkuu toka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Tengeneza (kushoto) akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Gianni Infantino, zawadi mbalimbali toka bodi hiyo kabla ya kuanza kwa mkutano wa shirikisho hilo mapema hii leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. Picha na Idara ya Habari - MAELEZO
That's an article RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO
Fine for article RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article RAIS WA FIFA AKIWA NCHINI TANZANIA LEO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/rais-wa-fifa-akiwa-nchini-tanzania-leo.html