MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA - News Today in World

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA
link : MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA

news-today.world |
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa maji Kiloleli ambao utafaidisha vijiji vitatu, kulia ni Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni.

Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphaele Chegeni akimshukuru Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan baada ya kuweka jiwe la msingi kla mradi huo wa maji. katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka.

Makamu wa Rais , Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Masanza Kona, Kiloleli wilaya ya Busega mkoani Simiyu.

Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphaele Chegeni akizungumza mbele ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakati wa kusalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi barabarani eneo la Nyashimo kumsalimia Makamu wa Rais ambaye ameanza ziara ya siku tano mkoani Simiyu.


That's an article MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA

Fine for article MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI JIMBO LA BUSEGA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/makamu-wa-rais-aweka-jiwe-la-msingi.html

Subscribe to receive free email updates: