LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA - News Today in World

LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA

LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA
link : LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA

news-today.world |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Ageny, Hashim Lundenga akizungumza na waandishi wa Habari, Dar es Salaam leo ambapo alitangaza rasmi kampuni hiyo kujitoa katika uandaaji wa shindano Miss Tanzania  tangu Februari 2018. Katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya The Look, Basila Mwanukuzi ambao ndio watakuwa waandaji wapya wa Miss Tanzania. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mwingereza.
Mashindano ya Miss Tanzania kuanzia sasa yatakuwa yakiandaliwa na Kampuni ya The Look Company Limited, inayoongozwa na Mwanadada Basila Mwanakuzi aliyepata kuwa Miss Tanzania 1998. 

 Kampuni ya Lino Intentional Agency Limited imekuwa waandaaji wa shindano la Miss Tanzania tangu mwaka 1994 na katika kipindi hicho inajivunia kutwaa taji la Miss World Africa 2005 kupitia Miss Tanzania 2005, Nancy Sumari


That's an article LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA

Fine for article LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article LUNDENGA AJITOA KUANDAA MISS TANZANIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/lundenga-ajitoa-kuandaa-miss-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates: