JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO - News Today in World

JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO

JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO
link : JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO

news-today.world |


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sulemani Jafo ametoa siku saba kwa halmashauri zote nchini kukamilisha mipango ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyo michache itakayotekelezwa kwa asilimia 100.

Akizungumza leo mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha kujadili mpango wa utekelezaji wa Miradi ya Fedha za Maendeleo za Serikali za Mitaa(LGDG) iliyoboreshwa kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na kushirikisha wakurugenzi, wenyeviti wa Halmashauri, maafisa mipango na makatibu tawala wasaidizi wa afya.



Alisema serikali inatarajia kutoa Sh bilioni 251 za maendeleo kwa ajili ya serikali za kipaumbele cha kwanza kikiwa ni afya iliyotengewa Sh bililioni 69.

Katibu Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mussa Iyombe akizungumza na kuwataka maafisa mipango kufanya kazi yao kwa kuzingatia taaluma na kuacha kuwa na nidhamu ya woga katika kuweka mipango katika halmashauri zao. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.


 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza katika Kikao kazi hicho.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge wa Kibakwe mkoani Dodoma na Waziri wa zamani wa TAMISEMI, George Simbachawene akisikiliza maelekezo ya Waziri Jafo.
 Baadhi ya wakurugenzi, wenyeviti wa Halmashauri, maafisa mipango na makatibu tawala wasaidizi wa afya wakisikiliza kwa makini hotuba za viongozi.
 Baadhi ya wakurugenzi, wenyeviti wa Halmashauri, maafisa mipango na makatibu tawala wasaidizi wa afya wakisikiliza kwa makini hotuba za viongozi.
 Baadhi ya wakurugenzi, wenyeviti wa Halmashauri, maafisa mipango na makatibu tawala wasaidizi wa afya wakisikiliza kwa makini hotuba za viongozi.
Baadhi ya wakurugenzi, wenyeviti wa Halmashauri, maafisa mipango na makatibu tawala wasaidizi wa afya wakisikiliza kwa makini hotuba za viongozi.


That's an article JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO

Fine for article JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article JAFO ATOA SIKU SABA HALMASHAURI ZIKAMILISHE MIPANGO KAZI YAO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/02/jafo-atoa-siku-saba-halmashauri.html

Subscribe to receive free email updates: