WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
link : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
You are now reading the article WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/wizara-ya-mifugo-na-uvuvi-imeunda-timu.html
Title : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
link : WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
news-today.world |
Na Mwandishi wetu
WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imeunda timu ya wataalamu 15 iliyopo katika mikoa 26 ya Tanzania bara ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Mifugo) Dk. Maria Mashingo (pichani) kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa mifugo yote nchini kabla ya kufika tarehe ya mwisho ya muda wa nyongeza wa Januari 31 mwaka huu.
Timu hiyo ya wataalamu imeanza kutekeleza majukumu yake Januari 4 mwaka huu ambapo kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk Maria Mashingo wilaya 30 ambazo bado hazijaanza zoezi la chapa na zimetiliwa mkazo katika ufuatiliaji ikiwemo Monduli, Kilwa, Liwale, Ruangwa, Mafia.
Aidha, Wilaya nyingine ni Sikonge, Tabora, Urambo, Mwanza, Ilemela Manispaa, Magu, Ukerewe, Buchosa, Tarime, Kyerwa, Ngara, Newala, Newala Mjini, Tandahimba, Nanyamba, Mtwara, Mikindani Manispaa, Masasi, Masasi Mjini, Nanyumbu, Moshi DC, Hai, Same, Rombo, na Kigamboni.
Dk. Mashingo amesema suala la upigaji chapa mifugo lipo kwa mujibu wa Sheria ya Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa mifugo Namba 12 ya Mwaka 2010 ili kudhibiti magonjwa ya mifugo pamoja na wizi wa mifugo, kuimarisha usalama wa afya na mazao ya mifugo pamoja na kudhibiti usafirishaji na uhamaji holela wa mifugo.
Amesema jumla ya ng’ombe millioni 19, 219,487 sawa na theluthi mbili ya ng’ombe wote milioni 28, 829,231 walioko nchini ambapo mpaka sasa jumla ya ng’ombe milioni 7, 701,661 sawa na asilimia 38.5 ndio wamepigwa chapa ambapo wamechangia kiasi cha shs. Bilioni 3, 700,830,500 kwa malipo ya Tsh 500 kwa kila ng’ombe.
Hivyo, Tathmini iliyofanyika kutokana na taarifa zilizokusanywa kutoka halmashauri zinaonesha kwamba, kati ya malengo waliojiwekea, Halmashauri 62 wamepiga chapa zaidi ya asilimia 50; Halmashauri 43 zimepiga kati ya asilimia 10 hadi 50; Halmashauri 23 zimepiga chini ya asilimia 10 na Halmashauri 30 hazijaanza lakini ziko kwenye maandalizi.
Ametaja baadhi ya changamoto zilizochangia kuathiri utekelezaji wa zoezi la chapa ni wafugaji kukataliwa kupiga chapa mifugo yao kwa kisingizio kuwa ni wavamizi na wahamiaji haramu katika Wilaya za Kibiti, Rufiji, Sumbawanga, Tanganyika, Kibondo.
Pia kutofautiana kwa gharama za uchangiaji ambapo baadhi ya wafugaji waliogomea kiwango cha sh 1000/= ambacho ni kinyume na kiwango elekezi cha sh 500/= kwa kila ng’ombe mfano katika Wilaya za Chunya na Tanganyika.
Vilevile fedha zilizochangwa kugharamia zoezi la chapa kutotolewa kwa wakati katika baadhi ya Halmshauri ikiwemo Mbarali na Misungwi hivyo kukwamisha utekelezaji wa kazi hiyo.
Timu hiyo ya watalaamu imegawanyika katika makundi saba kwenye mikoa ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Singida, Dodoma, Morogoro, Pwani, Dar es Salaam.
Mikoa mingine ni Tabora, Katavi,Rukwa, Kigoma, Shinyanga, Simiyu, Mara,Mwanza, Geita, Kagera, Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara.
That's an article WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA
Fine for article WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI IMEUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI ZOEZI LA UPIGAJI CHAPA KATIKA MIKOA 26 TANZANIA BARA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/wizara-ya-mifugo-na-uvuvi-imeunda-timu.html