UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO - News Today in World

UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO

UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO
link : UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO

news-today.world |
Na Katuma Masamba, Dodoma
Uangalizi hafifu wa watoto kutoka kwa wazazi,  walezi na jamii kwa ujumla umetajwa kuwa moja ya sababu ya wimbi la upoteaji wa watoto katika maeneo mbalimbali nchni ikiwemo jiji la Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameyasema hayo wakati akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Fakharia Shomar Khamis aliyetaka kujua sababu zinazopelekea kuongeza kwa tatizo la watoto kupotea na mkakati wa kuondoa tatizo hilo.

Masauni amesema, sababu zingine ni mazingira magumu wanayoshi baadhi ya watoto, imani za kishirikina, visasi kati ya familia na kupotea kwa bahati mbaya.

Amesema, Serikali  kupitia Jeshi la Polisi imekuwa ikifanya jitihada za kudhibiti matukio ya kupotea kwa watoto kwa kutoa elimu kupitia programu ya Polisi Jamii kwa watoto shuleni na wazazi kupitia mihadhara ya kijamii na vyombo vya habari.

“Jitihada hizo zimekuwa zikizaa matunda kwa kuongeza elimu ya usalama wetu kwanza miongoni mwa jamii na hvyo kuongeza umakini wa kuwalinda watoto,” amesema Masauni.

Amesema kuanzia kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka jana kwa mkoa wa Dar es Salaam pekee jumla ya watoto waliopotea ni 184 ambapo kati yao 176 walipatikana na wanane wanaendelea kutafutwa.



That's an article UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO

Fine for article UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article UANGALIZI HAFIFU WA WATOTO CHANZO CHA KUPOTEA KWA WATOTO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/uangalizi-hafifu-wa-watoto-chanzo-cha.html

Subscribe to receive free email updates: