TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE - News Today in World

TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE
link : TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

news-today.world |
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo akimweleza Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson maendeleo ya afya za pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya Matibabu.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiwajulia hali pacha walioungana Maria na Consolata waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)kwa ajili ya Matibabu.
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Fedha Agnes Kuhenga Televisheni moja kati ya nne zilizotolewa na Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Jumla ya TV sita zimetolewa na Tulia Trust ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Fedha Agnes Kuhenga Televisheni moja kati ya nne zilizotolewa na Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Jumla ya TV sita zimetolewa na Tulia Trust ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimjulia hali mtoto aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu. Dkt. Tulia kupitia Taasisi ya Tulia (Tulia Trust Fund) ametoa TV sita kwa JKCI ambazo zimefungwa katika wodi na kliniki za watoto.
Picha na JKCI


That's an article TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

Fine for article TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TULIA TRUS FUND YAKABIDHI TV 6 TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/tulia-trus-fund-yakabidhi-tv-6-taasisi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :