SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
link : SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
You are now reading the article SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/sherehe-za-miaka-54-ya-mapinduzi.html
Title : SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
link : SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
news-today.world |
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Heshma katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zolizofanyika katika uwanja wa Amani.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akipungia mkono wakati akiwasili katika uwanja wa Amani.
Wanafunzi wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya sherehe za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani humo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na viongozi wengine wa kitaifa wakiwa wamesimama wakati gwaride la heshma(halionekani pichani) lilipokuwa likipita katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani humo.
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Mkapa akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akipokea Saluti kutoka kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro mara baada ya kuhudhuria sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akiagana na wanachi mara baada ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kisiwani Zanzibar.
Rais Dk John Magufuli akiondoka
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amani kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zolizofanyika katika uwanja wa Amani.
That's an article SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs
Fine for article SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article SHEREHE ZA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR KATIKA PICHAs With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/sherehe-za-miaka-54-ya-mapinduzi.html