SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017 - News Today in World

SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017

SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017 - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017
link : SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017

news-today.world |
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe,  amewapongeza Dotto Rangimoto na Ali Hilal Ali kwa kushinda tuzo za mashindano ya Kimataifa ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika ya mwaka 2017 yanayoandaliwa na Chuo Kikuu cha Cornell nchini Marekani kwakushirikiana na Kampuni ya ALAF Ltd yaliyofanyika jana Januari15, 2018 mjini Newyork.

Waziri Mwakyembe ameeleza kuwa ushindi wa Watanzania hawa ni ushindi wa Taifa kwa ujumla, hivyo kwa niaba ya Serikali anawapongeza sana kwakutangaza utamaduni wetu kupitia lugha ya Kiswahili na kuipeperusha bendara ya Taifa letu Kimataifa. 

Amesema ushindi wa Dotto na  Ali unachagiza juhudi za Serikali za kuibidhaisha lugha ya Kiswahili.

Tuzo za Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika zenye lengo la kutambua na kukuza vipaji vya uandishi kwa lugha za Kiafrika, kuhimiza sanaa ya tafsiri baina ya lugha za Kiafrika zenyewe kwa zenyewe na kutafsiri maandishi ya lugha nyingine kwa lugha za Kiafrika zili asisiwa mwaka 2014. 

Tuzo hizi huandaliwa kila mwaka ambapo washiriki mbalimbali kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki hushiriki. Katika tuzo za mwaka 2017, Dotto Rangimoto ameshinda tuzo katika kipengele cha uandishi wa Ushairi na Ali Hilal Ali ameshinda tuzo katika kipengele cha uandishi wa Riwaya.


That's an article SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017

Fine for article SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017 This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article SERIKALI YAWAPONGEZA WASHINDI WA TUZO ZA KIMATAIFA ZA KISWAHILI YA MABATI -CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA 2017 With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/serikali-yawapongeza-washindi-wa-tuzo.html

Subscribe to receive free email updates: