SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
link : SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
You are now reading the article SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/serikali-kuendelea-kushirikiana-na.html
Title : SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
link : SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
news-today.world |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama akisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) wakati alipokutana na shirikisho hilo leo Januari 7, 2018, jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamghokya na kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais utawala bora, George Mkuchika, Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi na Ajira), Anthony Mavunde.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama akisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) wakati alipokutana na shirikisho hilo leo tarehe 7 Januari 2018, jijini Dar es salaam.
**********
Na Mwandishi Maalum
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama amesema serikali itaendelea kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) katika kuleta tija na ufanisi katika sekta ya kazi kwa kushughulikia masualaya wafanyakazi nchini
Waziri Mhagama ameyasema hayo leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wake na viongozi hao wa TUCTA, walipokutana kwa ajili ya kujadiliana na kushauriana juu ya mazingira bora na wezeshi ya wafanyakazi, sekta ya kazi na ajira nchini .
“Hatuwezi kupata tija na ufanisi katika sekta ya kazi bila vyama vya wafanyakazi kushughulikia malalamiko na manunguniko ya wafanyakazi katika maeneo yao ya kazi hasa katika mikataba ya ajira na stahiki zao kwa mujibu wa sheria .TUCTA msipo simamia haya hata serikali tutashindwa kutimiza wajibu wetu kikamilifu. Serikali itaendelea kushughulikia masuala ya wafanyakazi na sekta ya kazi kwa kuzingatia miongozo, kanuni na sheria za kazi na ajira katika kutafuta suluhu ya masuala ya kazi” alisema Mhagama.
Mhagama aliwahakikishia TUCTA kuwa serikali itayashughulikia madai yote ya wafanyakazi ambayo yanazingatia sheria. Aidha Mhagama aliwataka TUCTA kuvitaka vyama vya wafanyakazi kufanya vikao na wafanyakazi katika maeneo yao ya kazi na wawapatie elimu juu ya masuala ya kazi ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha juu ya tafsiri sahihi ya sheria za kazi tulizonazo nchini.
Kwa upande wake Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamghokya ameishukuru serikali kwa ushirikiano wanaoupata toka serikalini kupitia majadiliano ambayo yamesaidia migogoro ya wafanyakazi kupungua katika maeneo ya kazi. ushirikiano huo umekuwa ni mhimili mkubwa kati ya serikali, waajiri na wafanyakazi.
Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi utawala bora, George Mkuchika, Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazina Ajira), Anthony Mavunde na Katibu Mkuu Tawala za mikoa na Serikali za mitaa na Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi na Ajira) Erick Shitindi.
Msingi wa serkali na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) kukutana kwa majadiliano na mashauriano unatokana na nchi ya Tanzania kusaini mikataba ya Shirika la Kazi Duniani (ILO), ukiwemo mkataba namba 98 wa mwaka 1949,ndio uliweka mazingira hayo ya serikali,waajiri na wafanyakazi kukutana ili kuweka dhana ya kuaminiana na kuleta tija na ufanisi katika sekta ya kazi na ajira.
That's an article SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI
Fine for article SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/serikali-kuendelea-kushirikiana-na.html