Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30 - News Today in World

Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30

Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30 - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30
link : Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30

news-today.world |
Na Francisca Emmanuel
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imemuhukumu Mwalimu wa Sanaa ya kujihami, 'Martial arts' Salum Njwete maarufu kama  Scorpion, kutumikia kifungo cha miaka saba jela   na faini ya Sh milioni 30.

Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Ilala, Flora Haule baada ya Scorpion kupatikana na hatia katika kesi ya kujeruhi ikiwemo kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho.

Hata hivyo, mahakama hiyo ilimuachia huru kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha.

Oktoba 31,2017, Mahakama hiyo ilisema Salum Njwete  anakesi ya kujibu ambayo ni Unyanganyi wa kutumia Silaha na kujeruhi.

Scorpion alidaiwa kutenda kosa alilohukumiwa nalo Septemba 6,2016 katika eneo la Buguruni Jijini Dar es Salaam.

Upande wa mashitaka katika kesi hiyo ulikuwa na mashahidi 10 huku Mshitakiwa aliyekuwa akitetewa na Wakili Juma Nassoro alikuwa na mashahidi wawili.


That's an article Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30

Fine for article Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30 This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article Salum Njwete ‘Scorpion’ ahukumiwa jela miaka 7 na faini ya Milioni 30 With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/salum-njwete-scorpion-ahukumiwa-jela.html

Subscribe to receive free email updates: