MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA - News Today in World

MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA

MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA
link : MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA

news-today.world |
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kwa niaba ya wizara kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia), baada ya kumaliza mazungumzo  kuhusu ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Kuwait katika masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kwa raia wa nchi hizo mbili.Mazungumzo hayo yamefanyika leo ofisi za wizara,jijini Dar es Salaam.


That's an article MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA

Fine for article MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI TANZANIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/masauni-akutana-na-balozi-wa-kuwait.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :