KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
link : KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
You are now reading the article KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/kampeni-ya-barabara-ya-kuhamasisha.html
Title : KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
link : KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
news-today.world |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Network Information Centre Mhandisi Abibu Ntahigiye (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kampeni ya msafara kwa njia ya barabara (Roadshow Campaign) inayofanywa na taasisi ya Dot tz na Dot africa kuhamasisha matumizi ya mitandao hiyo ya intaneti kwa Afrika leo mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Registry.Africa Ndg. Lucky Masilela.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Registry.Africa Ndg. Lucky Masilela(wakwanza kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kampeni ya msafara kwa njia ya barabara (Roadshow Campaign) inayofanywa na taasisi ya Dot tz na Dot africa kuhamasisha matumizi ya mitandao hiyo ya intaneti kwa Afrika leo mkoani Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Network Information Centre Mhandisi Abibu Ntahigiye na mmoja wa wajumbe wa msafara huo, Ronald Schwaerzler
Mmoja wa wajumbe wa msafara kwa njia ya barabara (Roadshow Campaign) inayofanywa na taasisi za mitandao ya intaneti za Dot tz na Dot africa kuhamasisha matumizi ya mitandao kwa Afrika Ndg. Ronald Schwaerzler (wapili kulia) akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ratiba ya kupanda mlima Kilimanjaro kama sehemu ya kampeni hiyo leo mkoani Dodoma. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Registry.Africa, Lucky Masilela na wapili ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Network Information Centre Mhandisi Abibu R. Ntahigiye
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dododma, Jabera Matogolo(wakwanza kulia) akielezea namna ambavyo mtandao wa intaneti unavyosaidia kukuza kiswahili wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusu kampeni ya msafara kwa njia ya barabara (Roadshow Campaign) inayofanywa na taasisi ya Dot tz na Dot africa kuhamasisha matumizi ya mitandao hiyo ya intaneti kwa Afrika leo mkoani Dodoma.
Washiriki wa kampeni ya msafara kwa njia ya barabara (Roadshow Campaign) inayofanywa na taasisi ya Dot tz na Dot africa kuhamasisha matumizi ya mitandao hiyo ya intaneti kwa Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma walipokutana na waandishi wa habari leo mkoani Dodoma.
That's an article KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET
Fine for article KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.
You are now reading the article KAMPENI YA BARABARA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA DOT AFRICA NA DOT NET With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2018/01/kampeni-ya-barabara-ya-kuhamasisha.html