MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA - News Today in World

MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA

MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA
link : MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA

news-today.world |
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Singida Kusini (CCM), Mohamed Misanga (72) afariki dunia.

Daily News Digital imezungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum mkoani humo, Martha Mlata amethibitisha juu ya kifo hicho na kusema kuwa bado anafanya mawasiliano na familia ya marehemu kujua taratibu zaidi.Anaandika Mroki Mroki, Dodoma.
"Nikweli tumempoteza ndugu yetu, Mohamedi Misanga alfajiri ya leo katika Hospitali ya Muhimbili ambako taarifa za awali zinasema kuwa jana alipatwa na tatizo akapelekwa hospitalini hapo kwa matibabu na bahati mbaya leo amepoteza maisha," alisema Mlata.

Misanga aliyezaliwa Marchi 15, 1945, amepata kuwa Mbunge katika jimbo hilo kwa vipindi vitatu toka mwaka 2000-2015 amefikwa na umauti akiwa anapatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Ndani ya Bunge amewahi kuongoza na kuwa mjumbe wa Kamati mbalimbali za Kudumu za Bunge hususani ile ya Miundombinu.

Aidha Misanga pia amepata kushika nyadhifa mbalimbali katika vyama vya Michezo hasa vya Mpira wa Miguu kwani aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT) hivi sasa TFF na baade kuwa mjumbe katika kamati mbalimbali za TFF huku akiwa ni mnzi mkubwa wa Klabu ya Soka ya Yanga ya Dar es Salaam.

Endelea kuwa nasi Daily News Digital kwa taarifa zaidi.


That's an article MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA

Fine for article MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MBUNGE WA ZAMANI WA SINGIDA KUSINI AFARIKI DUNIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/mbunge-wa-zamani-wa-singida-kusini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :