MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE - News Today in World

MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE

MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE
link : MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE

news-today.world |
 Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Nzega vijijni, Hamisi Kigwangala akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi pikipiki 19 kwa watendaji wa Vijiji jimboni humo. 
 Makabidhiano ya pikipiki hizo 
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi jimbo la Nzega Vijijini wakimsikiliza Katibu Mkuu wa chama hicho taifa.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza
 Shughuli za chama.
JIMBONI NZEGA Jana, tulikabidhi pikipiki 19 kwa Kata zote 19 za jimbo la Nzega Vijijini. Hizi ni jitihada zetu katika kuimarisha Chama ngazi ya kata kwenye jimbo letu. Tulifanya zoezi hili mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa jimbo la Nzega Vijijini ambapo Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana aliitikia ombi letu la kuwa mgeni rasmi. 

Chama cha mapinduzi kimejengwa kwenye msingi imara wa wanachama wenyewe kujitoa na kujitolea kukiimarisha. Hiki ni Chama cha watu, cha wanachama wenyewe. Viongozi wa Chama tunakiimarisha Chama chetu kwa kujitoa kama hivi. 

Viongozi wote wa Chama hiki hatuna mishahara, walau baadhi yetu tunapata posho kidogo wakati wa kutekeleza majukumu yetu. Kwa kule ngazi za chini kuna watu wanajitoa kwa nguvu zao zote, kila kukicha, tena bila mshahara wala posho. Wanazunguka kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kwa nguvu zao, kwa gharama zao na wakati mwingine huhatarisha maisha yao. 

Binafsi naithamini sana kazi ya viongozi wenzetu kule chini kwenye grassroots, wanafanya kazi kubwa. Kongole kwao. 

Wanafanya Kazi hii kuiweka CCM madarakani ili kuhakikisha amani, utulivu na usalama unadumu nchini. Kazi yao inatoa fursa ya shughuli za maendeleo ya nchi yetu kufanyika. Hawa ni Askari wazalendo kweli kweli! Kazi yao ni yenye heshima kubwa. 

Mimi nimejiwekea utaratibu wa kuwapa vyombo vya usafiri kila baada ya miaka mitano ili kuonesha thamani yao kwa nchi yetu na kuirahisisha kidogo kazi yao! 


That's an article MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE

Fine for article MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MBUNGE NZEGA VIJIJINI AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI 19 WA VIJIJI KATIKA JIMBO LAKE With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/mbunge-nzega-vijijini-akabidhi-pikipiki.html

Subscribe to receive free email updates: