KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI - News Today in World

KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI

KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI
link : KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI

news-today.world |
BENKI ya CRDB imeanza mchakato wa kumpata Mkurugenzi mpya wa Beki hiyo kabla ya Mkurugenzi wa sasa Dk. Charles Kimei Kustaafu.

Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari, Dar es Salaam leo, Kimei amesema utaratibu wa Benki hiyo ni kumtafuta Mkurugenzi Mkuu mpya miezi 18 kbla ya aliyepo madarakani kustaafu.

Dk Kimei anataraji kufikisha miaka 21 akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo mwezi Mei 2019 ambapo wameanza mchakato huo mapema ili kuwezesha ubadilishanaji kuwa rahisi. 

Aidha Kimei katika uongozi wake ameweza kuisaidia Benki hiyo kupanda kutoka kufilisika hadi kuipandisha kufikia Benki inayoongoza nchini.

Mali za Benki ya CRDB kwa miaka 20 iliyopita zilikuwa na thamani ya Bilioni 54 na kuongeza kufikia trilioni 5.9 na amana za wateja kutoka Bilioni 40 hadi kufikia trilioni 4.3.


That's an article KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI

Fine for article KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article KIEMI WA CRDB KUACHIA NGAZI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/12/kiemi-wa-crdb-kuachia-ngazi.html

Subscribe to receive free email updates: