UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI - News Today in World

UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI

UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI
link : UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI

news-today.world |
Na Katuma Masamba, Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema,  ukosefu wa ajra kwa vijana nchini unazidi kupungua kutokana na juhudi mbalimbali za serkali. 

Amesema hatua hyo inatokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuboresha na kutengeza mazingira yatakayowawezesha vijana kujiajiri.

Mhagama ameyasema hayo wakati akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2017/2018 ambapo alisema, tatizo la ajira ni changamoto ya kidunia lakini  serikali imekuwa ikijtahidi kuhakikisha inatengeza mazingira mazuri ikiwa ni pamoja na kuanzisha program 8rasisimishaji wa ajira ambazo  Urasimishaji Ujuzi kwa Vijana ambao wana ujuzi lakini hawakupitia katika mfumo rasmi wa mafunzo ya Ufundi.


That's an article UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI

Fine for article UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article UKOSEFU WA AJIRA WAPUNGUA NCHINI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/11/ukosefu-wa-ajira-wapungua-nchini.html

Subscribe to receive free email updates: