MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA - News Today in World

MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA

MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA
link : MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA

news-today.world |
Na Katuma Masamba, Dodoma
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kabla ya Desemba 30, mwaka huu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanza kutoa matibabu ya kupandikiza figo ikiwa ni hatua ya kupunguza wagonjwa wanaopelekwa nje ya nchi.

Ummy ameyasema hayo wakati akichangia Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 ambapo amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakibeza juhudi mbalimbali za serkali katika kuboresha huduma za afya.

Amesema kwa sasa Hospitali ya Taifa Munimbili kupitia taasisi zake kwa kiasi kikubwa imepunguza wagonjwa waliokuwa wakipelekwa nje ya nchi. 

Amesema kipndi cha nyuma Hospitali ya Muhimbili ilikuwa ina uwezo wa kuwafanyia upasuaji watoto 15 kwa wiki lakini sasa hivi ina uwezo wa kuwafanyia watoto 50.


That's an article MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA

Fine for article MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MUHIMBILI KUANZA KUPANDIKIZA FIGO DESEMBA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/11/muhimbili-kuanza-kupandikiza-figo.html

Subscribe to receive free email updates: