MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post
Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.
Title : MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
link : MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
You are now reading the article MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/11/mbunge-gama-afariki-dunia.html
Title : MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
link : MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
news-today.world |
Taarifa kutoka Songea zinasema kuwa Gama amefikwa na umauti usiku wa kuamkia leo mkoani Songea katika Hospitali ya Peramiho ambako alilazwa kwa muda mfupi kufuatia maradhi ya kiharusi ambayo yalimpata juzi usiku akiwa nyumbani kwake huko Likuyu nabaadae kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Gama amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Nachingwea, Newala, Mbeya na Ilala. Vilevile amewahi kuwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema peponi.
MBUNGE wa jimbo la Songea mjini, Leonidas Gama amefariki Dunia.
Taarifa kutoka Songea zinasema kuwa Gama amefikwa na umauti usiku wa kuamkia leo mkoani Songea katika Hospitali ya Peramiho ambako alilazwa kwa muda mfupi kufuatia maradhi ya kiharusi ambayo yalimpata juzi usiku akiwa nyumbani kwake huko Likuyu nabaadae kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Gama amewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Nachingwea, Newala, Mbeya na Ilala. Vilevile amewahi kuwa mkuu wa mkoa Kilimanjaro.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali pema peponi.
That's an article MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA
Fine for article MBUNGE GAMA AFARIKI DUNIA This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.