MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI - News Today in World

MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI

MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI
link : MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI

news-today.world |
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira), Anthony Mavunde akizungumza na wafanyakazi wa Shule ya Kimataifa ya Moshi (ISM). 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira), Anthony Mavunde akizungumza na wafanyakazi waKiwanda cha China Paper Corporation
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira), Anthony Mavunde leo amefanya ziara ya ukaguzi wa masuala ya kazi na kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyakazi mkoani Kilimanjaro.

Mavunde alianza ziara hiyo katika shule ya Kimataifa ya Moshi (ISM) ambapo alisikiliza kero za wafanyakazi na kutoa maagizo kwa Menejimenti ya Uongozi wa Shule hiyo kutoa mikataba kwa wafanyakazi kwa mujibu wa kifungu cha 14 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini kinavyoelekeza ikiwa ni pamoja na kuagiza Taasisi za Serikali kuchunguza malalamiko juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa menejimenti.

Mavunde pia alitembelea Kiwanda cha China Paper Corporation ambapo alisikiliza kero za wafanyakazi na kuiagiza Menejimenti ya Kiwanda hicho kuhakikisha sheria za Kazi zinafuatwa kwa kutoa Mikataba kwa wafanyakazi wote na kuhakikisha haki za wafanyakazi zinalindwa ikiwemo usalama wa mazingira ya kufanyia kazi.Pamoja na maagizo hayo kwa kiwanda,Naibu Waziri Mavunde aliwataka wafanyakazi nao kutimiza wajibu wao na kutumia njia sahihi za malalamiko yao bila kuvunja sheria za nchi.

Wakati huo huo,Naibu Waziri Mavunde amewaaguza Afisa Kazi Mfawidhi na Afisa wa Uhamiaji wa mkoa wa Kilimanjaro kuzishikilia hati za kusafiria za raia wa kichina 9 mpaka watakapowasilisha Vibali vya kufanya kazi nchini na Vibali vya makazi.


That's an article MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI

Fine for article MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article MAVUNDE AWACHARUKIA WAAJIRI MKOANI KILIMANJARO JUU YA MIKATABA NA VIBALI VYA WAGENI KUFANYA KAZI NCHINI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/11/mavunde-awacharukia-waajiri-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates: