UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017 - News Today in World

UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017

UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017 - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017
link : UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017

news-today.world |

Wizara ya Nishati inawaomba radhi wananchi kufuatia katizo la Umeme lililotokea tarehe 25 na 26 Oktoba, 2017 kuanzia saa 12:30 Jioni.

Katizo hilo limesababishwa na kukatika kwa waya (Cable) wa kupeleka Umeme kwenye Geti la kufungulia Maji katika Bwawa la Kidatu linalozalisha Umeme wa kiasi cha megawati  204.

Hitilafu hiyo ilisababisha mtambo wa Kidatu pamoja na mitambo mingine ya kuzalisha Umeme katika sehemu mbalimbali nchini kutoka kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha mikoa yote iliyounganishwa kwenye mfumo wa Gridi hiyo kukosa Umeme.

Serikali imefanya jitihada za kurejesha Umeme kuanzia tarehe 25 Oktoba, 2017, usiku ili kuhakikisha kuwa Umeme unarudi katika hali yake ya kawaida kwa nchi nzima. 

Hadi kufikia tarehe 26 Oktoba, 2017, baadhi ya mitambo imeanza kufanya kazi na hivyo maeneo mengi nchini yanapata Umeme.

Aidha, mtambo wa Ubungo II wenye uwezo wa kuzalisha Umeme wa Megawati 129, utaanza kuzalisha Umeme ifikapo tarehe 27 Oktoba, 2017, saa 5:00 asubuhi, hivyo kufanya maeneo yote nchini kupata Umeme. 

Hatua za dharura na za muda mrefu zinaendelea kuchukuliwa kuhakikisha tatizo la kukatika kwa Umeme halijirudii. Hatua hizo ni pamoja na kukarabatiwa kwa mitambo yote ya kuzalisha Umeme iliyoharibika ndani ya kipindi cha wiki mbili.

Hatua nyingine ni kukarabati mfumo wa kituo cha kudhibiti mifumo ya Umeme (Grid Control Centre) ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi ikiwemo utoaji wa taarifa mbalimbali za hali ya udhibiti wa mfumo wa Umeme katika Gridi ya Taifa.

Imetolewa na,
NAIBU KATIBU MKUU
WIZARA YA NISHATI
26 Oktoba, 2017


That's an article UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017

Fine for article UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017 This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article UFAFANUZI KUHUSU KUKATIKA KWA UMEME KUANZIA TAREHE 25 - 26 OKTOBA, 2017 With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/ufafanuzi-kuhusu-kukatika-kwa-umeme.html

Subscribe to receive free email updates: