TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I - News Today in World

TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I

TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I
link : TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I

news-today.world |
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa Wataalamu wetu wanafanya matengenezo ya dharura  katika Mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia cha Kinyerezi I.

Hivyo Kituo kitazimwa Saa 6:00 mchana hadi Saa 7:00 Mchana ili kupisha matengenezo.

Baadhi ya maeneo mbalimbali ya nchi katika kipindi hicho yatakosa umeme.

Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka.

Toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz

Mitandao ya Kijamii
http://bit.ly/2z7ojFx /http://twitter.com/tanescoyetu

Imetolewa na:-       
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu

31/10/2017


That's an article TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I

Fine for article TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA KINYEREZI I With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/taarifa-ya-matengenezo-ya-dharura-kituo.html

Subscribe to receive free email updates: