Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere - News Today in World

Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere

Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere
link : Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere

news-today.world |

KURUGENZI ya Mawasiliano ya Rais inapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli hatakuwa mgeni rasmi katika kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere kama inavyotangazwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Tarehe 11 Oktoba, 2017 ambayo inatangazwa kuwa ndio siku ya kufanyika kwa kongamano hilo, Mhe. Rais atakuwa na majukumu mengine ya Kitaifa kulingana na ratiba yake ya kazi.

Taasisi mbalimbali za umma na zisizo za umma zinazomualika Mhe. Rais katika shughuli zao zinakumbushwa kutokutangaza ushiriki wa Mhe. Rais katika shughuli zao mpaka zipate uthibitisho kutoka ofisi ya Rais.
Tafadhali tuzingatie utaratibu huu.


That's an article Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere

Fine for article Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article Rais Magufuli kutohudhuria Kongamano la Kumbukizi ya Mwl Nyerere With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-kutohudhuria-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates: