RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO - News Today in World

RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO

RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO
link : RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO

news-today.world |

“Kwa mshtuko na masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya vifo vya watu 12 waliopoteza maisha baada ya gari la abiria walilokuwa wakisafiria kutumbukia katika ziwa Victoria Mkoani Mwanza, nawapa pole sana wote waliopoteza jamaa zao katika ajali hii, nawaomba wawe na moyo wa uvumilivu, ustahimilivu na subira katika kipindi hiki cha majonzi”
Hiyo ni sehemu ya salamu za rambirambi alizozitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kufuatia ajali ya basi la abiria (Daladala) lililozama katika ziwa Victoria baada ya kugonga vizuizi vya kivuko cha Kigongo Wilayani Misungwi na kisha kutumbukia na kuzama majini.

Rais Magufuli amemtuma, Mongella kufikisha salamu zake za pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote waliopatwa na msiba huu na amesema anaungana nao katika maombolezo.

Aidha,  Rais Magufuli amewaombea marehemu wote wapumzishwe mahali pema peponi na majeruhi 3 walionusurika katika ajali hii wapone haraka ili waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku.


That's an article RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO

Fine for article RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article RAIS MAGUFULI AWALILIA WATU 12 WALIOPOTEZA MAISHA ZIWA VICTORIA LEO With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-awalilia-watu-12.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :