NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI - News Today in World

NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI

NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI - Hallo World !!! News Today in World, In this article you read by title NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI, We've prepared this article well so you can read and retrieve information on it. Hopefully the contents of the post Article DAILY NEWS-HABARILEO, What we write can you understand. Okay, happy reading.


Title : NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI
link : NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI

news-today.world |
 Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wajumbe wa Kamati ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, kushoto Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu  na kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizarani, Dkt. Neema Rusibamayila.
 Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Salma Kikwete akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo. Katikakati ni Katibu wa Kamati hiyo, Happiness Ndalu na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Daniel Mtuka. Kikao hicho kimefanyika Mjini Dodoma ambapo wamejadili Taarifa ya Bohari ya Dawa (MSD) na Taarifa ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao  na Watendaji wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ambapo walikuwa wakipokea Taarifa ya Bohari ya Dawa (MSD) na Taarifa ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI. Kikao hicho kimefanyika Mjini Dodoma.



That's an article NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI

Fine for article NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI This time, hopefully can benefit for you all. Well, see you in other article postings.

You are now reading the article NAIBU WAZIRI AFYA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA UKIMWI With link address https://newstoday-ok.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-afya-azungumza-na-wajumbe.html

Subscribe to receive free email updates: